Showing posts with label Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Tanzania. Show all posts

Nov 7, 2014

NEW AUDIO: Gosby – WEMA SEPETU

  No comments    
categories: ,

Oct 29, 2014

Najipendelea: Rabit feat Joe Makini na Gnako

  No comments    
categories: , , , ,
Baada ya kupata nafasi ya kutimba Nairobi Kenya ndani ya Coke Studio, Joe na G naoko waliitumia fursa hiyo kufanya collable na mkali kutoka Kenya "Rabit" .Sikiliza wimbo huo "Najipendelea" hapa chini.

NEW AUDIO: Sugu & Professor Jay – Makamanda

  No comments    
categories: , ,
Sugu, Jay & Villy at Mwanalizombe Records

Mdau wa Mziki pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy.

nyimbo tatu mpya kutoka kwa Wakazi. sikiliza hapa

  No comments    
categories: , ,

Oct 18, 2014

Mwana FA ft Alikiba. Wimbo mpya ‘Kiboko Yangu’ kuachiwa wiki ijayo

  No comments    
categories: , ,

















Mwana FA aka Binamu anatarajia kuachia single mpya ‘Kiboko Yangu’, ambayo amemshirikisha Alikiba Ikiwa ni miezi mitano imepita toka aachie ‘Mfalme’.
FA na KIba
Binamu ambaye pia anatarajia kupanda kwenye jukwaa la ‘Serengeti Fiesta’ leo (October 18) akiwa na ‘surprises’ kibao, ameiambia Bongo5 kuwa Jumatano ijayo (October 22) single ya ‘Kiboko Yangu’ itakuwa tayari kwenye vituo vya radio.
Kabla hajaachia ‘Mfalme’ May, 2014, Hamis Mwinjuma alikuwa amepanga aanze kutoa ‘Kiboko Yangu’ ambayo ilikuwa tayari imerekodiwa kwenye studio ya MJ Records kabla ya ‘Mfalme’, lakini mipango ilibadilika.

Sep 18, 2014

New Music: Young Dee Ft Jux – Siyo Mchoyo

Wimbo mpya kutoka kwa Young Dee akimshirikisha Jux ngoma inaitwa “Siyo Mchoyo” Producer Rash Don

Sep 16, 2014

(Official Music Video): Mesen Selekta – Kanyaboya

  No comments    
categories: ,

2


                Contacts : www.Facebook.com/Defatality
                                www.Facebook.com/MesenSelekta
                                www.instagram.com/Mesenselektatz

NEW AUDIO: AY Ft Mis Triniti & Lamyia – Its Goin Down

  No comments    
categories: , ,
ay

Rabbit ft. Joh Makini & G-Nako– NAJIPENDELEA

  No comments    
categories: , ,
Najipendelea promo 3

Aug 17, 2014

JAMBO SQUAD MAMONGOO REMIX (NOIZ) FT. ARUSHA UNITEDJAMBO SQUAD MAMONGOO REMIX (NOIZ) FT. ARUSHA UNITED

  No comments    
categories: ,

Aug 13, 2014

Written By Fid Q Ft MAJANI | Produced By Son Of The SON

  No comments    
categories: ,
 Bongo Hip Hop Cover Back || www.gongamx.com
Ninaposikiliza track kama hii inanirudisha kwenye harakati za ukweli za muziki ambao hivi sasa Tanzania imeweza kuwa na mtindo wa “MUZIKI WA KIAZI KIPYA” unaotikisa nchi nzima na kuweza kuwafikisha vijana kwenye INTERNATIONAL AWARDS… muziki ambao “ulipingwa” kila kona katika jamii ya Mtanzania wakati imeanza, lakini bado iliweza kushinikiza kishida shida bila kuingiza kiasi chochote cha pesa na bila kupigwa kwenye radio yoyote nchini, Bongo Hip Hop ilipigwa mtaani na kwenye Concerts peke yake…  Hivi sasa  “HARAKATI BONGO HIP HOP”  imeweza kuzaa “BONGO FLAVA” na wasanii kuweza kuingiza kipato na imeweza kuwa ni ajira kwa vijana nchini.
(R.I.P) NIGGER ONE – ADILI KUMBUKA, D-ROB na wengine waliotutangulia mbele ya Haki walishiriki kwenye mchakato mzima wa “Bongo HIP HOP Movement”
“Hip Hop Forever” SIKILIZA

Aug 10, 2014

(Official Video) : Dizasta- Harder



Aug 6, 2014

NEW AUDIO: Suma Mnazaleti Ft ROMA – Mnazaleti Mkatoliki

  No comments    
categories: ,
????????

NEW AUDIO: Nikki Mbishi – MICHEPUKO

22

Aug 5, 2014

NEW AUDIO: Juma Nature – Komaa (Producer Dupy)

  No comments    
categories: , ,
jumanature4


Aug 3, 2014

NEW HIT VIDEO TOKA KWA JUMA NATURE KOMAAA

  No comments    
categories: , ,



Jul 18, 2014

NEW AUDIO : Nyumba ndogo- Dizasta

 
Wimbo mpya kutoka kwa Dizasta,Tamaduni Musik.Mdundo umetengenezwa na Mujwahuki.

Download track hii kupitia Mdundo Bonyeza hapa.