Showing posts with label music. Show all posts
Showing posts with label music. Show all posts
Nov 7, 2014
Oct 29, 2014
NEW AUDIO: Sugu & Professor Jay – Makamanda
Mdau wa Mziki pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy.
Oct 15, 2014
Tyga – 40 Mill (Produced by Kanye West)
Tyga ameachia ngoma iliyotengenezwa na Kanye West “40 Mill.”
Ni baada ya hivi karibu kuwalaumu YMCMB kuwa wanamshikilia mateka. Ngoma hii itakuwa kwenye album yake Gold Album.
Sep 18, 2014
New Music: Young Dee Ft Jux – Siyo Mchoyo
Wimbo mpya kutoka kwa Young Dee akimshirikisha Jux ngoma inaitwa “Siyo Mchoyo” Producer Rash Don
Subscribe to:
Posts (Atom)

