Oct 17, 2014

Jinsi ya kujipatia nguo za T.I Dar es salaam!

  No comments    
categories: 

akoo
Tunajua kwamba mmoja kati ya Wageni waliochukua headlines kwenye tamasha la muziki la Fiesta linalofanyika Jumamosi hii ya October 18 2014 Leaders Dar es salaam ni rapper T.I kutokea Marekani ambae hii ndio itakua mara yake ya kwanza kukanyaga Afrika.

T.I  2
Tayari sehemu ya timu yake imeshatua Tanzania akiwemo meneja wake pamoja na mizigo kadhaa ndani yake ikiwa na nguo kutoka kwenye clothing line ya T.I ambapo nguo hizi zitauzwa kwa Watu mbalimbali pale Dar Free Market Osterbay kuanzia saa nne asubuhi ya October 18.

Oct 16, 2014

Rick Ross Kutoa Album Mbili Mwaka Huu.

  No comments    
categories: ,
Baada ya rapper Rick Ross kutoa album yake ya Mastermind Marcha mwaka huu, rapper huyu kutoka Miami ametangaza album ya pili inayotoka mwaka huu pia, album hii ni 'Hood Billionaire' .

Ujumbe wa album hii kwa mujibu wa Rick Ross ni kulisha mitaa na muziki wake, itakuwa album ya mitaa yote.

Hood Billionaire inatoka November 24 na wameshirikishwa wasanii kama R. Kelly kwenye “Keep Doin’ That (Rich Chick)” na “Elvis Presley Blvd” na  Jay Z pia yupo kwenye cd hii.

Picha: AY akamilisha video na Sean Kingston Marekani

  1 comment    
categories: 
 














 AY amekamilisha kushoot video na msanii wa Marekani, Sean Kingston. Video hiyo imefanyika nchini humo.
AY-US2
AY amesema baada ya video hiyo huenda akafanya nyingine tena.
“Shooting ilienda vizuri tulifanya fresh yaani kila kitu kilienda vizuri kabisa. Hakuna ugumu wowote akina Trinity akina Sean Kingston, kuna jamaa wa New Boys jamaa fulani wanahit huku, kuna video wamefanya na jamaa fulani ina view milioni 32, so ni jamaa wakubwa huku nao pia walikuja wakashow love pale,” AY ameiambia Bongo5.
10735463_368657469962806_631229743_n Ms Triniti, AY na Sean Kingston

“Kuna actor mmoja mzungu naye pia alishow love, kwahiyo natarajia itakuwa bonge la video,” ameongeza.

“Kingine kwa sasa hivi nataka kufanya recording nyingine na artist wengine ambao sitakiwi kuwaweka wazi sasa hivi. La msingi ninaendelea kufanya kazi huku na ninaweza nikashoot na video nyinge tena halafu ndo nirudi Tanzania.”
Hizi ni picha zingine za AY akishoot video hiyo.
10731919_806653072710435_82368948_n
10706936_1477450815869078_468163395_n
10724711_335983979912689_1987114471_n

Wyre apewa haki za kuirudia ‘Inde Monie’ na Kanda Bongo Man

  No comments    
categories: 















Muimbaji wa dancehall, Wyre aka The Love Child kutoka Kenya amesema amepewa haki za kuirudia hit song ya mkongwe wa Soukous kutoka DRC, Kanda Bongo Man iitwayo ‘Inde Monie’.
Wyre na Bongo Man
Wyre ameiambia GHAFLA kuwa tayari ameachia audio ya ‘Inde Monie’ (rendition) na hivi sasa yuko kwenye mipango ya kutoa video.
“Kanda Bongo Man alinipa haki za kuurudia wimbo wake miezi kadhaa iliyopita tulipokuwa tukitumbuiza Juba”.



Video :Michelle Obama akicheza/kuimba ‘Turn Up for What’ ya Lil Jon

  No comments    
categories: 
Video ya First Lady wa Marekani Michelle Obama akicheza wimbo wa Lil Jon ‘Turn Up For What’ akiwa ameshika tunda la ‘turnip’ imekuwa gumzo mtandaoni baada ya kuweka kwenye akaunti ya mtandao wa Vine wa Ikulu. Jionee.



Tazama Picha za Mapokezi ya meneja wa T I .Ndani ya bongo

  No comments    
categories: ,


Kutoka U S A mpaka bongo




Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea




  Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I











Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwajili ya interview

















Baada ya mapokezi moja walee

Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa meneger wa msanii mkubwa wakimataifa T I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo nikwasababu huu ni usibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.
                                                        Picha:Eli Ulomi/Djfettytz.com

Oct 15, 2014

2014 BET Hip Hop Awards Cyphers

  No comments    
categories: 

Snoop Dogg amaliza beef na Iggy Azalea baada ya kushauriwa na T.I

  No comments    
categories: , ,













 
Hatimaye Snoop Dogg amemuomba msamaha rapper wa Australia Iggy Azalea baada ya utani uliozaa beef wiki hii kupitia Twitter na Instagram.
Snoop n Iggy
Snoop alipost clip ya video Instagram siku ya Jumatano October 15 akimuomba msamaha Iggy na kusema amefikia uamuzi huo baada ya kuongea na rapper T.I anayetarajiwa kuwarusha mashabiki wa Tanzania Jumamosi hii pale Leaders club, ambaye ni rafiki wa Iggy na Snoop.
“Boys and girls, I just got off the phone with my boy Tip, the king of Atlanta, and it’s officially over. No more bad talk, I apologize. I apologize. I’m sorry, I won’t do it again,” hayo ni maneno aliyoyazungumza kwenye clip hiyo yenye caption “It’s over I’m bac on my cool s**t no harm no foul. #ifitaintaboutthe much love @troubleman31t respect sorry bout that.”

Iggy hakua na hiyana bali amepokea na kumsamehe Snoop kwa kuandika,

“I appreciate the apology @snoopdogg. Let that be that people, time to focus on the positive things I’ve got going on. no time to dwell on the negative,”
Beef ya wawili hao ilianza siku chache zilizopita baada ya Snoop kumtania Iggy kwa kupost picha ya utani (meme) Instagram inayomwonesha msichana albino na kuandika “Iggy Azalea No Make Up”.

New Music: Kupanda na kushuka -Nikki Mbishi,One The Incredible,Songa ft Lady Jay Dee



 DOWNLOAD WIMBO HUU BURE KUPITIA LINK HII https://mkito.com/artist-profile/songa/675

mavazi ya T.I : Hustle Gang, Akoo pamoja na Strivers Row kuzinduliwa jijini Dar es Salaam

  No comments    
categories: ,















Baada ya Tamasha la Fiesta kutangaza rasmi kuwa rapa na mshindi wa tuzo za Grammy, T.I wa Marekani kuwa ndiye msanii mkubwa wa kimataifa atakayekuja kutoa burudani siku ya kilele chake hapa Dar es Salaam, leo pia imetangazwa rasmi kuwa mavazi ya T.I ya Hustle Gang, Akoo pamoja na Strivers Row nayo yatazinduliwa rasmi katika duka la Pop Up Shop lililopo katika super market ya Dar Free Market siku ya tarehe 18-October, 2014.


akoo27

Akizungumzia uzinduzi huo wa mavazi ya T.I, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Grand Hustle Records, Jason Geter ambayo ndio kampuni inayomsimamia msanii B.O.B na mwanadada anayekuja kwa kasi Iggy Azalea, alisema anaamini soko la Tanzania na Afrika kwa ujumla ni masoko makubwa kwa bidhaa zao.
‘Tuna matarajio makubwa kuhusiana na kuleta bidhaa zetu nchini Tanzania, na tunatarajia sio tu kuleta bidhaa zetu hapa nchini, bali kwenda mbali zaidi kwa kujifunza soko la mitindo hapa nchini’ alisema Geter.

Duka la Pop Up litafunguliwa kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa tisa mchana ambapo wateja watapata fursa ya kununua nguo halisia za Hustle Gang, Akoo na Strivers Row Clothing, huku wamiliki wa maduka wakiweza kutazama bidhaa tofauti na kuagiza oda zao.
Tamasha la Fiesta ambalo linajulikana kama tamasha kubwa na lenye mafanikio zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati likiwa na wahudhuriaji wasiopungua 500,000 kwa mwaka huku likijivunia wasanii wakubwa waliowahi kutoa burudani miaka ya nyuma kama Ludacris, 50 Cent, Rick Ross na wengineo.
Mwaka huu kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta kitafanyika tarehe 18 mwezi wa kumi katika viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam.

Tudd Thomas: Mwaka 2015 utakuwa mgumu na wenye ushindani zaidi kimuziki

  No comments    
categories: ,















 Producer wa ‘Mdogo Mdogo’ ya Diamond, Tudd Thomas amedai kuwa mwaka 2014 ulikuwa mwaka wa mafanikio kwa muziki wa Bongo lakini mwaka ujao utakuwa mgumu kutokana na ushindani ulioanzishwa mwaka huu.
Tuddy Thomas
Akizungumza na Bongo5 jana, Tudd alisema mwaka huu watayarishaji wa muziki wa Tanzania wamefanya kazi kubwa.
“Mwaka huu naufananisha na mwaka 2012, mwaka huu mambo makubwa yamefanyika katika production za muziki hapa bongo. Ukiangalia Man Walter kafanya, Nahreal, Marco Chali, mimi na ma-producer wote wamefanya poa sana. Lakini mwaka ujao ukatua mgumu sana, kila producer atataka afanye kitu ambacho kitamfanya aonekane anastahili. Kwahiyo 2015 ni pasua kichwa sio kwa wasanii pekee hata producers ushindani utakuwa mkubwa sana na huo ushindani ndo utaufanya muziki wetu kwenda mbali zaidi,” alisema Tudd.

Pia Tudd alisema mfumo wake alioanzisha mwaka huu wa kutayarisha nyimbo 5 ama 6 kwa mwaka ni mzuri na utamfanya afanye kazi zake kwa umakini zaidi.
“Kila mtu ana utaratibu wake, mimi kwa mwaka nafanya nyimbo 5 au 6 tu. Huu utaratibu unawapa fursa producers wengine kuonekana. Ukiangalia mwaka huu nyimbo zangu zote nilizofanya ziko vizuri kwenye rotation ya muziki sasa kama ningefanya nyingi zaidi najua kuna watu ningewanyima nafasi kutokana na mimi kuonekana kila sehemu. Pia kufanya nyimbo chache kwa mwaka zinakupa uwezo na nafasi ya kufanya kazi zako kwa utulivu zaidi.”

RAPPER 80 WANAOMKUBALI LIL WAYNE KUTOKA MAREKANI.NA MAADUI ZAKE

  No comments    
categories: ,















Rappers Speak On Lil Wayne:
2 Chainz Compliments Lil Wayne
50 Cent Compliments Lil Wayne
Andre 3000 Compliments Lil Wayne
ASAP Rocky Compliments Lil Wayne
Big Sean Compliments Lil Wayne
Bun B Compliments Lil Wayne
Busta Rhymes Compliments Lil Wayne
Camron Compliments Lil Wayne
Canibus Compliments Lil Wayne
Cassidy Compliments Lil Wayne
Chamillionaire Compliments Lil Wayne
Chance The Rapper Compliments Lil Wayne
Chief Keef Compliments Lil Wayne
Common Compliments Lil Wayne
Cory Gunz Compliments Lil Wayne
Crooked I Compliments Lil Wayne
DMC Compliments Lil Wayne
Diddy Compliments Lil Wayne
DJ Premier Compliments Lil Wayne
DMX Compliments Lil Wayne
Drake Compliments Lil Wayne
Dreezy Compliments Lil Wayne
Eminem Compliments Lil Wayne
Fabolous Compliments Lil Wayne
Fat Joe Compliments Lil Wayne
Freddie Gibbs Compliments Lil Wayne
Future Compliments Lil Wayne
Game Compliments Lil Wayne
Glasses Malone Compliments Lil Wayne
GZA Compliments Lil Wayne
Ice Cube Compliments Lil Wayne
Isaiah Rashad Compliments Lil Wayne
J Cole Compliments Lil Wayne
Jadakiss Compliments Lil Wayne
Jae Millz Compliments Lil Wayne
Jamie Foxx Compliments Lil Wayne
Jay Electronica Compliments Lil Wayne
Jay Rock Compliments Lil Wayne
Jay-Z Compliments Lil Wayne
Juelz Santana Compliments Lil Wayne
Juvenile Compliments Lil Wayne
Kanye West Compliments Lil Wayne
Kendrick Lamar Compliments Lil Wayne
Kid Cudi Compliments Lil Wayne
Kool G Rap Compliments Lil Wayne
KRS-One Compliments Lil Wayne
Kurupt Compliments Lil Wayne
Layzie Bone Compliments Lil Wayne
Lil B Compliments Lil Wayne
Lil Bibby Compliments Lil Wayne
Lil Herb Compliments Lil Wayne
LL Cool J Compliments Lil Wayne
Los Compliments Lil Wayne
Ludacris Compliments Lil Wayne
Lupe Fiasco Compliments Lil Wayne
Mase Compliments Lil Wayne
Mac Miller Compliments Lil Wayne
Mack 10 Compliments Lil Wayne
Macklemore Compliments Lil Wayne
Mannie Fresh Compliments Lil Wayne
Nas Compliments Lil Wayne
Nicki Minaj Compliments Lil Wayne
N.O.R.E. Compliments Lil Wayne
Raekwon Compliments Lil Wayne
Redman Compliments Lil Wayne
RZA Compliments Lil Wayne
Shyne Compliments Lil Wayne
Soulja Boy Compliments Lil Wayne
T.I. Compliments Lil Wayne
Talib Kweli Compliments Lil Wayne
Tech N9ne Compliments Lil Wayne
Trina Compliments Lil Wayne
Twista Compliments Lil Wayne
Tyga Compliments Lil Wayne
Tyler The Creator Compliments Lil Wayne
Wale Compliments Lil Wayne
Webbie Compliments Lil Wayne
Young Thug Compliments Lil Wayne