Hii ni video ya tatu ya
Ali kutoka katika album yake mpya inayoitwa “
The Book Of Ali”. Album hii ni joint project kati ya Ali na Def Jam’s V.P. of A&R
Sha Money XL.Huku
Sha Money akiwa amesimamia na kuproduce nyimbo zote katika album, hii huu ni ujio mpya kwa wale waliokua wamemic classic hip hop.
0 comments:
Post a Comment