Aug 6, 2013

BRAND NEW MUSIC & LYRICS : AY ft. Fid Q - JIPE SHAVU ... Prod. By Q The Don

  
categories: ,
Ni ngoma mpya kutoka kwa mwanamuziki AY ambae anazidi kufanya vizuri katika muziki kwa kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania katika level za kimataifa.Hapa amekuja na new joint JIPE SHAVU ... Katika ngoma hii, AY amemshirikisha rapper Mwanza Mwanza a.k.a FID Q, track hii imetengenezwa katika studio za MPO AFRICA huku mdundo ukiwa umesukwa na producer Q Tha Don.










download JIPE SHAVU hapa chini :



mashairi/lyrics za ngoma hii mpya ya AY ... #JipeShavu ...

Verse 1:
Nachana style zaidi ya kumi bado kiwango same/
Kwenye speaker unamsikia mastermind wa hii game/
Toka BC game,mpaka AC game/
Wanajaribu hata kugeza hawana Edu-Tain/
Nasmile,wanavyoscream M BACK AGAIN/
Chillax,usipanic kwani where have you been/
Bila msoto maisha haya mjomba huwezi gain/
Kanyaga moto acha utoto then life maintain/
Napata moyo navyosikika toka Jozi mpaka Lagos/
Bado mnakuna vichwa level hizi chafu mikosi/
Nimetoka mbali na hii game bado naidai/
Ndio maana sivimbi kichwa na Ufame till I die/
Usiwe bingwa wa kuhonga na home wanalala njaa/
Nyumbani umeacha mboga moja ka komba ulala baa/
Ujanja kuweka heshima nyumbani na is kuweka baa/
Unashangaa?? Stuka huu sio muda wa kuzubaa
Chorus:
Fid Q:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
AY:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
VERSE 2:
(Fid Q)
Jipe shavu.. kabla haujajipa uwe na hizi na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa..
una cash- money.. wewe ni hustler.. fulani../
Ulikuja na DASH kama DAMON ukazi-Chase kama DAMIAN/
jipe shavu ukiwa na ubavu wa u - billionea/
Haters watashow LOVE kwa HI 5 everywhere/
'' C E O wa CHEUSIDAWA TV'' yeah.. iliyoanza kwa flipcam/
ukinikuta club utapagawa.. njoo u-Sip some/
Flow hizi tamu/ zinaleta SNOWS ndani ya DAR ES SALAAM/
na mie ndo BOSS bado haujanifahamu?/
TROUBLESOME..na hizi lyrics sio bubble gum/ Multi- Syllabic acheni ubishi hii sio double rhyme.
. Chorus:
Fid Q:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
AY:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
Verse 3:
Beware,usinifuate shika nukuu,fanya mbwembwe huko uliko ila usije njia kuu,
Mdundo mzito wa Q
Michano ya level ya juu
Kazi inaisha kabla ya kuanza mbele ya me and Fid Q,
Ukitaka kunijua jiandae kujilaumu
Bora uhairishe zoezi kubakie tu kunifahamu
Jipe shavu ulikuja mjini mnyonge mzeiya sasa una mabavu,unasurvive,na wengine unawapa shavu
Jina lavuma Afrika nzima nazidi tu kujituma
Nyuma na support nzima Mtwara to Musoma
Dar to Kigoma ,A Town,Moro to Ruvuma
Tanzania nzima so unatamani hata kugoma
Umenisoma?mchaka wa soka ka mchizi Chonka
Chini kwa chini ka Inju bin Unuki mi nasonga
Mkononi Michael Kors na 3 smart phones
Border nazidi cross huniambii we bitozi
Simu nyingi zinazotoka na kuingia ni za biashara
We bwabwaja,scratch yo balls mzembe zidi lala
Ujanja kupeleka faida bank ya ile uliyoinvest
Bora uhairishe kabla hujaniface
Chorus:
Fid Q:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Cash?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
AY:
Jipe shavu,kama unajipa una hizi sifa na kama una hizi sifa hakikisha watu walikupa,
Una Chase?Money,we ni Hustler?flani
Unasupport yako familia na uko real x2
Credits:
AY Featuring Fid Q
Jipe Shavu
Produced by Q the Don
Mpo Afrika Studio