Mshairi(poet) pia emcee kutoka Zimbabwe Outspoken hivi karibuni ametoa video(for The Slave Master’s Whip ) ambayo inapatikana katika album yake mpya:Uncool and Overrated: God Before Anything.
Video imechukuliwa katika mitaa ya NYC katika tour yake ya hivi karibuni,Ikiwa katika simple visuals kumpa mtazamaji focus ya kupata message kama sehemu muhimu ya hip hop.
This is deep.
0 comments:
Post a Comment