Mcee kutoka Cape Town Whosane akiwa amekaribia kurelease project yake ya Brooklyn to Cape Town & Sasa ametoa video ya wimbo wake mpya akimshirikisha Kanyi Mavi (one of the biggest rapping talents South Africa ).
Project hiyo itatoka June 16th. Pia unaweza kucheck na audio ya wimbo huu kupitia Soundcloud hapa.
0 comments:
Post a Comment