Aug 6, 2013

X Plastaz 'video ‘Africa’ featuring Fid Q & Bamba Nazar

  
categories: ,



Tanzania hip hop group X Plastaz wamekuja na new video and single ‘Africa’. Wakiwa wameshirikiana na mmoja wa mashujaa wa hip hop Tanzania Fid Q, na legendary producer/vocalist Bamba Nazar (aka Dj Threesixty from African hip hop radio). Ujumbe wa wimbo huu ni juu ya uhitaji wa amani na mshikamano katika bara la Africa. Video imechukuriwa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania: Unguja (Zanzibar),Kisiwa katika coast ya Tanzania, na arusha, the city where X Plastaz live.

Watch it below:




 Pia katika video hii imewaonyesha member wa X plastaz Yamat aka Merege (X Plastaz’ Maasai singer) na member mpya wa X Plastaz Maria . Wimbo umetengenenzwa na dj Threesixty (Bamba Nazar) na video imeandaliwa na kuwaedited na Africanhiphop.com editor J4.