Oct 13, 2013

The Game Is Officially YMCMB

  No comments    
categories: ,



Kumekuwa na tetesi kuhusiana na The Game juu ya kusaini mkataba na label inayokua kwa kasi katika tasnia ya music kwa sasa YMCMB, Nitangu Birdman aliposhirikishwa katika Jesus Piece shouting out Game, nakusema Cash Money was next.

 Huku mkataba wake na Interscope ukiwa umekwisha,Mpaka sasa the game hajathibitisha rasmi kama Cash Money ndiyo makazi yake mapya kwa sasa,Ila birdman ametweet that the two have made it official, and Game is now Rich Gang certified. Birdman tweeted, "S/O 2MY@thegame Westcoast makit Official.RICHGANG.YMCMBusine$$" Game nae akaretweet post hiyo.
Hii ni hatua inayothibitisha kuwa The Game is official RICH GANG.


0 comments:

Post a Comment