Hii ni list ya album bora za muda wote kutoka kwa hip hop mceee wanaotokea Latino.Top 20 Albums ambazo zinakila kitu. Beats kali , Rhymes zenye uandishi makini na nivipi zimebadili Game ya latin.
(alama * ni nyimbo iliyovuma zaidi kutoka katika album)
(alama * ni nyimbo iliyovuma zaidi kutoka katika album)
20. Kid Frost “Hispanic causing Panic” 1990 – Frost alifanya watu kupenda kupanda magari classic na kutamani kuwa na real classy chick karibu yao. "La Raza" ikiwa ndo nyimbo maarufu kutoka katika album hii.West coast classic album kama hii still inarock mitaa.
* “La Raza”
* “La Raza”
19. Cartel de Santa “vol 1″ 2002 – El disco rojo. Ruthless lyrics. hakukuwa na holds barred. Album hii ilibase katika Hadithi na thug life kutoka mitaani.Ni mwanzo wa outlaw group.
* "La pelotona"
* "La pelotona"
18. Mexicano 777 “God’s Assassin” 2001- Mexicano alitupa gutter kuangalia kinachoendelea kule Puerto Rico.kwa Mitambao mizuri na hardcore beats , God’s Assassin killed the competition.
* "Balumbalang".
* "Balumbalang".
17. Bocafloja “El Manual de la Otredad” 2007 – Msanii mwenye kipaji cha utunzi wa mashairi bora kutoka Mexico City alipotoa albamu aliimarisha nafasi yake miongoni mwa wasomi.
* “autonomo”
* “autonomo”
16. Kinto Sol “La Sangre Nunca Muere” 2005 – Haikuwa hadithi tu kuhusu hawa jamaa,hit song yao kubwa "Ella se fue" iliwaweka juu na kuwa ni heat song mitaani.
* “Ella se fue”
* “Ella se fue”
15. Fat Joe “Jealous One’s Envy” 1995 – Fat Joe kila siku hudrops hardcore music. This was no exception. HARDCORE.
* “The shit is real”
* “The shit is real”
14. Tres Coronas “The Mixtape” 2004 – Mixtape ambayo iliua albums nyingi .Jamaa hawa kutoka Queens, Corona walikuja na flow ambayo haijawahi kusikika katika industry ya rap music huko Spain.
* “falsedades”
13. Beatnuts “Forever” 2001 – certified bangers classic music. Beatnuts were always underrated. The Queens duo made a masterpiece.
* “off the books”
* “off the books”
12. Funkdoobiest “which doobie u be?” 1993 –Ni kama kurusha bomu katika game ya music. Grimey beats. West coast spitters.Hakukua na funkier albamu zaidi kuliko hii.
* “The funkiest”
* “The funkiest”
11. Cypress Hill “Éxitos en Español” 1999 – Cypress Hill alipotoa greatest hits album nchini Spain? Alilibadilisha game nchini humo. All classics. All fire. All Spanish.
* “marijuanos locos”
* “marijuanos locos”
10. Joell Ortiz “Bodega Chronicles” 2007 – Joell Ortiz
* “125 (final)”
9. Tempo “Game Over” 1999 – the greatest Rapper kutoka visiwani,alikuja na album yenye lugha za mitaani kutoka nchini PuertoRico with vicious flows
* “ven y vuela”
8. Immortal Technique “Revolutionary vol. 2″ 2003 – Tech comes from now where with vol. 1. A more polished MC, vol 2 had a political rage not seen since Public Enemy and Dead Prez. A former battle MC, Tech took the world by storm with his angry delivery.
* “4th branch*
* “4th branch*
7. The Psycho Realm “The Psycho Realm” 1997 – Ndugu kutoka Pico Union waliungana na B Real na kutoa classic dirty album ikiwa imetawaliwa na story kutoka mitaani upande wanaotokea watu wenye shida za kimaisha.Baadhi ya nyimbo zao still zinafanya poa mpaka sasa.
* “Psycho City Blocks”
* “Psycho City Blocks”
6. Capone and Noreaga “The War Report” 1997 – In the middle of the East Coast West Coast beef ,Capone and Noreaga were dropping bombs behind classic Premo beats.
* “Bloody Money”
* “Bloody Money”
5. Control Machete “Artillería Pesada” 1997 – HARDCORE Spanish hip hop. Pioneers.
* “si señor”
* “si señor”
4. SPM “Never Change” 2001 –
* “Mexican Radio”
3. Delinquent Habits “Delinquent Habits” 1996 – From “what it be like” to “lower eastside” Los Delincuentes came with flawless Flows over Latino samples. Overall greatness.
* “Tres Delincuentes”
* “Tres Delincuentes”
2. Cypress Hill “Black Sunday” 1993 -
* “Insane in the brain”
1. Big Pun “Capital Punishment” 1998 – Bar for bar, beat for beat…Hii ni moja ya greatest albums za muda wote. Pun alikuja na Club bangers and street anthems, Pun made a classic.
0 comments:
Post a Comment