Nov 17, 2013

(Hip-Hop Historia):TUPAC NA JOSHUA KUTOKA GHETTO GOSPEL MUSIC HADI JOSHUA'S DREAM


Mwaka 1993, Tupac alipokea barua kutoka kwa wazazi wa Joshua. Walisema Joshua last wish ilikua ni kuonana na Tupac. Tupac alienda  Maryland kukutana na Joshua  alimchukua na kwenda nae kuangalia mchezo wa basketball. Baada ya kifo cha Joshua,Tupac alibadili jina la kampuni yake ya uchapishaji kutoka Ghetto Gospel Music na kuwa Joshua’s Dream.





0 comments:

Post a Comment