Town dusi nuksi balaa na laana..| natamani nirudi bush kama mzushi Mabala
The Farmer...| Wananiambia niwe na sikio la kusikia...| Nisikate tamaa
nimsikilize stereo kwenye hisia..|
Hiyo ni baadhi ya mistari kutoka katika wimbo wa 'Yaliyomo' ukiwa umefanywa na Dubo Jesus Son, Production chini ya Nikki Mbishi, Ndani ya Racers Records.
Hiyo ni baadhi ya mistari kutoka katika wimbo wa 'Yaliyomo' ukiwa umefanywa na Dubo Jesus Son, Production chini ya Nikki Mbishi, Ndani ya Racers Records.
0 comments:
Post a Comment