Sep 16, 2014

Kaa tayari: Double release ya G Nako – Jumanne 23/9/2014

  No comments    
categories: ,
download

Mkali wa single Mama Yeyo anatambulika kwa jina la kisanii G-NAKO kutoka kundi la WEUSI, Jumanne ya tarehe 23 mwezi huu wa 9 anatarajia kuachia vibao vyake viwili vikali. G-Nako nako anawaomba mashabiki wake wawe tayari kwa kumpokea na ujio mwingine na zitakuwa Exclusive on MKITO.COM, kuhusu kamshirikisha nani na kafanya studio gani majibu yote yatajulikana siku hiyo.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment