Oct 25, 2013

P The-mc Polymath: NI mwingi wa habari



MWINGI WA HABARI  ni album kutoka kwa P The-mc Polymath ambayo inajumla ya nyimbo 19,kwa mala ya kwanza ilianza kupatikana pale Kilingeni Msasani club tarehe 19 kwa bei ya shilingi ELFU TANO (5000).

Album hii imefanywa na maproducer mbalimbali kutoka Tamaduni Musik na wengineo kama P funk kutoka bongo records,humu ndani P the MC ameshirikiana na wasanii kama Marijani Rajab,Mansu Li,Nikki Mbishi,One the Incredible,Maulo na wengine wengi kwa pamoja kuwakilisha album bora ya Hip Hop.

Kwa anayehitaji album hii kutoka kwa P the Mc check na mawasiliano haya:

  • UKIWA MAENEO YA TEMEKE..... MCHEKI NASH MC:0713 900 994 KUPATA ALBUM HII 
  • KINONDONI MPAKA MSASANI...... INGIA MSASANI CLUB ZIPO
  • TEGETA WASILIANA NA SONGA 0656 337 757
  •  UKONGA:SHASHO 0714 730 722
  •  ALMANDO CHIBO 0713 860 082 KURASINI
  • KIWALANI/UKONGA/VINGUNGUTI NA BUGURUNI WASILIANA NA P THE MC KWA NAMBA: 0717 254 451 
  • KWA WALE WALIO DODOMA ,WASILIANA NA Abdul Rutona Mtamaduni Tishio KWA NAMBA: 0765 798328 
  • KWA WALE WA MBEYA TEKU WASILIANA NA:         
                 -Jamal Mashili : 0712271693
                 -Comred Kipepe :0713 958 025
  • KWA WATU WA MTWARA KUIPATA ALBUM YA "MWINGI WA HABARI"  ANWANI NI HII HAPA WASILIANA NA GAMA AYO - SAUT MTWARA 0689871847.
  •  Morogoro Msamvu: Amri Mlela 0654304030 
  • Mwanza SAUTI: Adnan 0713513637

Kwa mikoa mingine mtapata taarifa ni wapi utaipata album hii kutoka kwa P the MC,unaweza kuwasiliana na P the MC moja kwa moja kupitia:

mawasiliano:
simu: 0717 25 44 51
twitter: @pthemcyessaya
 

0 comments:

Post a Comment