
Showing posts with label music album. Show all posts
Showing posts with label music album. Show all posts
Dec 4, 2013
Nyimbo mbili mpya kutoka kwa Sean Price
Sean Price na M-Phazes wamefanya EP ya pamoja inayoitwa "Land Of The Crooks" na inatoka siku ya December 17.
Tracklist:
01. Bag of Shit (feat. Loudmouf Choir)
02. Dump In The Gut
03. Land of the Crooks (feat. Billy Danze, Maffew Ragazino & DJ Babu)
04. Murdah Type Thinkin (feat. Roc Marciano)
05. Murdah Type Thinkin (feat. Guilty Simpson) [Small Professor Remix]
06. Bag of Shit (Instrumental)
07. Dump In The Gut (Instrumental)
08. Land of the Crooks (Instrumental)
09. Murdah Type Thinkin (Instrumental)
10. Murdah Type Thinkin (Small Professor Remix) Instrumental
11. Crookapella (Beat Kit/Scratch Stems)
Oct 25, 2013
P The-mc Polymath: NI mwingi wa habari
MWINGI WA HABARI ni album kutoka kwa P The-mc Polymath ambayo inajumla ya nyimbo 19,kwa mala ya kwanza ilianza kupatikana pale Kilingeni Msasani club tarehe 19 kwa bei ya shilingi ELFU TANO (5000).
Album hii imefanywa na maproducer mbalimbali kutoka Tamaduni Musik na wengineo kama P funk kutoka bongo records,humu ndani P the MC ameshirikiana na wasanii kama Marijani Rajab,Mansu Li,Nikki Mbishi,One the Incredible,Maulo na wengine wengi kwa pamoja kuwakilisha album bora ya Hip Hop.
Kwa anayehitaji album hii kutoka kwa P the Mc check na mawasiliano haya:
- UKIWA MAENEO YA TEMEKE..... MCHEKI NASH MC:0713 900 994 KUPATA ALBUM HII
- KINONDONI MPAKA MSASANI...... INGIA MSASANI CLUB ZIPO
- TEGETA WASILIANA NA SONGA 0656 337 757
- UKONGA:SHASHO 0714 730 722
- ALMANDO CHIBO 0713 860 082 KURASINI
- KIWALANI/UKONGA/VINGUNGUTI NA BUGURUNI WASILIANA NA P THE MC KWA NAMBA: 0717 254 451
- KWA WALE WALIO DODOMA ,WASILIANA NA Abdul Rutona Mtamaduni Tishio KWA NAMBA: 0765 798328
- KWA WALE WA MBEYA TEKU WASILIANA NA:
-Jamal Mashili : 0712271693
-Comred Kipepe :0713 958 025
Kwa mikoa mingine mtapata taarifa ni wapi utaipata album hii kutoka kwa P the MC,unaweza kuwasiliana na P the MC moja kwa moja kupitia:
- KWA WATU WA MTWARA KUIPATA ALBUM YA "MWINGI WA HABARI" ANWANI NI HII HAPA WASILIANA NA GAMA AYO - SAUT MTWARA 0689871847.
- Morogoro Msamvu: Amri Mlela 0654304030
- Mwanza SAUTI: Adnan 0713513637
Kwa mikoa mingine mtapata taarifa ni wapi utaipata album hii kutoka kwa P the MC,unaweza kuwasiliana na P the MC moja kwa moja kupitia:
mawasiliano:
simu: 0717 25 44 51
twitter: @pthemcyessaya
simu: 0717 25 44 51
twitter: @pthemcyessaya
Facebook: P The -mc Polymath
Oct 20, 2013
Scoe - Tha Influence
Production: Best Kept Secret, Bink Dawg, Charlie Red 3000, Fingazz, Hi-Tek, Jahlil Beats, Jake One, Just Blaze, Mike WiLL Made It, Nottz, Statik Selektah, Tone Mason.
Scoe ameshirikiana na The DJBooth kukamilisha street album yake, Tha Influence.
Project hii inajumla ya nyimbo 17 kutoka kwa veteran emcee mbalimbali, Baadhi ya track zinazopatikana humu ni “Sunset Strip,” “End of Summer,” “Thank You,” “They Ain’t Ready” and “The Crown.”
33RPM – Voices of the Revolution
by: Benix Matrix No comments
categories: Algeria, Egypt, kenya, Mali, music album, Namibia, Senegal, Somalia, Tunisia, Zimbabwe

categories: Algeria, Egypt, kenya, Mali, music album, Namibia, Senegal, Somalia, Tunisia, Zimbabwe
33RPM – Voices of the Revolution is a collection of 33 songs, from 33 artists from 33 countries across the globe.
The collection of 33 songs chronicles oppression, uprisings, land rights issues, political and social abuses and acts of revolution drawn directly from the experiences of established and emerging artists representing over 33 countries across 6 continents, and spans Afrofuturismo, Indian folk-rock, soulful New Zealand reggae, Electro Caribe, Malian hip hop and Iranian electronica amongst other diverse styles and genres.The project features an eclectic selection of Hip Hop artists & styles as you would expect from a project of this scope. 33 tracks, 13 feature African artists. With contributions Octopizzo, Outspoken, Alesh & former child soldier Emmanuel Jal and more others.
This project is a joint effort between Un-Convention, Nomadic Wax, Fora Do Eixo, Tiuna el Furte & In Place of War. If you are interested in learning more about this project or the organisations involved you can view the press release here.
The project is a free download so preview & download it below.
Sep 22, 2013
The Awakening EP by Shuko
Subscribe to:
Posts (Atom)