Ninaposikiliza track
kama hii inanirudisha kwenye harakati za ukweli za muziki ambao hivi
sasa Tanzania imeweza kuwa na mtindo wa “MUZIKI WA KIAZI KIPYA”
unaotikisa nchi nzima na kuweza kuwafikisha vijana kwenye INTERNATIONAL
AWARDS… muziki ambao “ulipingwa” kila kona katika jamii ya Mtanzania
wakati imeanza, lakini bado iliweza kushinikiza kishida shida bila
kuingiza kiasi chochote cha pesa na bila kupigwa kwenye radio yoyote
nchini, Bongo Hip Hop ilipigwa mtaani na kwenye Concerts peke yake…
Hivi sasa “HARAKATI BONGO HIP HOP” imeweza kuzaa “BONGO FLAVA” na
wasanii kuweza kuingiza kipato na imeweza kuwa ni ajira kwa vijana
nchini. (R.I.P) NIGGER ONE – ADILI KUMBUKA, D-ROB na wengine waliotutangulia
mbele ya Haki walishiriki kwenye mchakato mzima wa “Bongo HIP HOP
Movement” “Hip Hop Forever” SIKILIZA
Nicki Minaj amezungumza na kituo cha radio Hot 97 cha Marekani Jumatatu (August 4) na kuelezea jinsi Beyonce alivyomtafuta na kumuomba amshirikishe katika ‘Flawless Remix’. Minaj amesema kuwa alipigiwa simu na kupewa taarifa kuwa Beyonce anataka kumshirikisha kwenye ‘Flawless Remix’ kama mwezi mmoja au miwili iliyopita, na baadae akamtumia wimbo na kumsisitiza afunguke bila kuogopa, na kweli tumeona amefunguka kiasi mpaka Lil Kim kashindwa kuvumilia na kujibu. Haya ndio maelezo ya Minaj jinsi ilivyokuwa: “A month or two ago, Gee [Roberson] called me when I was on my way to Vegas and said, ‘Beyoncé wants you to remix to ‘Flawless. She sent me a version that she wanted. She told me, ‘I want you to be you. I don’t want you to hold back. I said, ‘You sure?’
She said, ‘Yeah. I want you to be you and do you. I was actually in New York writing the verse. I recorded the verse in New York and she stopped by the studio. She was such a sweetheart. She was hyping me up, ‘Do your thing. Don’t hold back. Go in.’ I was like, ‘Okay. Alright.”
Weekend iliyopita Beyonce ameachia Remix ya wimbo wake ‘Flawless’ ambao kamshirikisha rapper Nicki Minaj. Lakini inavyoonekana Lil Kim ambaye sasa ni mama hakuridhika na baadhi ya mistari ya Minaj na kuamua kumjibu kwa kutoa ‘Flawless Remix yake’ Baadhi ya sehemu zilizotafsiriwa na Kim kama ni dongo kwake katika verse ya Nicki Minaj kwenye ‘Flawless Remix’, kuna sehemu anajiita ‘queen of rap’, Lil kim yeye amemjibu hivi “Am I tripping or did this ho just say my name? Queen of rap? F**k outta here. Queen’s back, f**k outta here. Time to get this wack b***h up outta here.” Haya ni mashahiri ya Lil Kim kwenye ‘Flawless remix’ yake: Am I trippin’ or did this ho just say my name?
Queen of rap? F*ck outta here
Queen is back, get outta here
Time to get this swag bitch outta here
I woke up like this, f*ck outta here
I’m so awesome, I’m so f*ckin’ awesome
These hoes wanna be me cause they know Kimmy, she be flawless
Yea, I’m flossin’, bitches got ‘em nauseas
Phantom got ‘em cursin’, (?)
I just had a baby ’bout a week ago
These bitches got me on my (?) yo
Look at this shit, still got my d*ck on her lips
I ain’t (?)
Damn it’s a shame, bitch, I want you to hang
Do your lipstick with the mascara
Kissin’ myself on the bathroom mirror
Head game so presidential, spit on a d*ck like an instrumental Haya ni mashahiri ya Nicki Minaj kwenye Flawless remix: Looking Trinidadian, Japanese and Indian
Got Malaysian, got that yaki, that wavy Brazilian
(Them bitches thirsty, I’m Hungarian
Nicki, B, be eatin’, diamond fangs, barbarian, ah)
Yo, like MJ doctor, they killing me
Propofol, I know they hope I fall
But tell ‘em winning is my motherf*ckin’ protocol
‘Cause I score before I ever throw the ball
These bitches washed up and ain’t no f*ckin’ soap involved, uh
This every hood nigga dream, fantasizing about Nicki and B
Curvalicious, p*ssy served delicious
Mayday mayday, earth to bitches
Slap these hoes on they ass like we birthing bitches, uh
The queen of rap, slayin’ with Queen B