
Showing posts with label G Nako. Show all posts
Showing posts with label G Nako. Show all posts
Nov 7, 2014
Oct 29, 2014
Sep 16, 2014
Kaa tayari: Double release ya G Nako – Jumanne 23/9/2014
Mkali wa single Mama Yeyo anatambulika
kwa jina la kisanii G-NAKO kutoka kundi la WEUSI, Jumanne ya tarehe 23
mwezi huu wa 9 anatarajia kuachia vibao vyake viwili vikali. G-Nako nako
anawaomba mashabiki wake wawe tayari kwa kumpokea na ujio mwingine na
zitakuwa Exclusive on MKITO.COM, kuhusu kamshirikisha nani na kafanya
studio gani majibu yote yatajulikana siku hiyo.
May 5, 2014
(New Audio) MwanaFA ft G Nako ‘mfalme’ isikilize hapa
Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulitambulishwa kwa Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa ‘mfalme’ wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na umefanywa na Producer Nahreel.
Sep 21, 2013
“Tafadhali” Adili Hisabati ft Salu T, Gnako na Rama Dee
Adili Hisabati amewakusanya wakali kadhaa
katika ngoma aliyoipa jina la TAFADHALI. Ni ngoma
ambayo ndani inabeba ujumbe unaogusa maisha ya watu. Akiwa na
G.Nako, Rama Dee na Salu T ndani ya hii ngoma wameingiza vitu ambavyo vinamfanya
msikilizaji akubali kuwa muda wa michano real ndo huu...
Salu T ameanza na ujumbe kwa kujiamini akitaka usikie,
wengi tunafahamu aina ya muziki wake ambao umesimama katika ukweli na uwazi na si promo za siku hizi. Salu T anasimamisha hiphop elimu nawe tega sikio upate elimu tosha.
G. Nako hatabiriki na
siku zote atakushangaza kwa flow kali!!! na anavyocheza na lugha. Verse yake imejaa punchlines za hatari
ambazo yeye ameziwasilisha kwako kwa mtindo wa mahubiri. Huwa napenda kumsikiliza huyu jamaa kwa sababu anamitambao inayokaa kwenye mdundo vizuri.
Isikilize TAFADHALI upate chakula cha ubongo:.
Subscribe to:
Posts (Atom)