Showing posts with label Mbeya. Show all posts
Showing posts with label Mbeya. Show all posts
May 6, 2014
Sep 21, 2013
“Tafadhali” Adili Hisabati ft Salu T, Gnako na Rama Dee
Adili Hisabati amewakusanya wakali kadhaa
katika ngoma aliyoipa jina la TAFADHALI. Ni ngoma
ambayo ndani inabeba ujumbe unaogusa maisha ya watu. Akiwa na
G.Nako, Rama Dee na Salu T ndani ya hii ngoma wameingiza vitu ambavyo vinamfanya
msikilizaji akubali kuwa muda wa michano real ndo huu...
Salu T ameanza na ujumbe kwa kujiamini akitaka usikie,
wengi tunafahamu aina ya muziki wake ambao umesimama katika ukweli na uwazi na si promo za siku hizi. Salu T anasimamisha hiphop elimu nawe tega sikio upate elimu tosha.
G. Nako hatabiriki na
siku zote atakushangaza kwa flow kali!!! na anavyocheza na lugha. Verse yake imejaa punchlines za hatari
ambazo yeye ameziwasilisha kwako kwa mtindo wa mahubiri. Huwa napenda kumsikiliza huyu jamaa kwa sababu anamitambao inayokaa kwenye mdundo vizuri.
Isikilize TAFADHALI upate chakula cha ubongo:.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Subscribe via Email
Recent Posts
Featured Posts
Popular Posts
-
STEREO a.k.a B BOY STEREO Genre: Hip Hop Ni tangu pale wimbo wa “nitabaki juu” ulivyoanza kusikika kwa hadhira ya Tanzania,stereo...
-
Hamis Mwinjuma aka MwanaFalsafa aka MwanaFA aka Binamu is Tanzania’s brightest Bongo Flava artists commandeering the Hip Hop genre wi...
-
Wimbo mpya kutoka kwa Dizasta,Tamaduni Musik.Mdundo umetengenezwa na Mujwahuki. Download track hii kupitia Mdundo Bonyeza hap...
-
MWINGI WA HABARI ni album kutoka kwa P The-mc Polymath ambayo inajumla ya nyimbo 19,kwa mala ya kwanza ilianza kupatikana pale K...