Oct 19, 2013

Rapper Kala Jeremiah sasa ni balozi wa Pepsi







Kala Jeremiah amesaini mkataba na kampuni SBC kupitia kinywaji chake cha Pepsi na kutangazwa rasmi kuwa balozi wa Pepsi nchini.
kala amewashukuru watanzania na vyombo vya habari kwakusema:

 namshukuru sana mungu, lakini nawashukuru sana mashabiki wangu, kwasababu bila wao nisingeweza kuchaguliwa kuwa balozi, wale watu huwa wanaangali unakubalikaje kwenye jamii lakini unajiheshimu vipi katika jamii, nashukuru pia vyombo vya habari kwa kunipigania mpaka kujulikana kwenye makampuni makubwa kama hayo.