Jan 24, 2014
Jan 16, 2014
(Video) Wale Kuachia Documentary Yake Next Week …
Baada ya kutembelea Nigeria,Wazazi Wake Walipotokea.Rapper Wale Kuachia Documentary Yake Next Week …
Kutoka Maybach Music Group nchini Marekani, Wale "Olubowale Akintimehin", tarehe 20 jumatatu ya wiki ijayo anatarajia kuachia Documentary ya maisha yake iitwayo I am From ambayo itakuwa ikirushwa na kituo cha matangazo ya burudani cha Revolt Tv kinachomilikiwa na rapper Sean Comb"Diddy".
Wale alitembelea nchi ya Nigeria hivi karibuni kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kushoot baadhi ya clips na trailer ya Documentary yake hiyo mpya inayoonyesha uasilia wa familia yake.
Jan 15, 2014
Jan 13, 2014
Jan 12, 2014
Jan 11, 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)



