Nov 26, 2013

Hivi Ndivyo Video Ya Rap God Itakavyokuwa

  No comments    
categories: , , ,

Mkali wa miondoko ya Rap nchini Marekani kutoka jijini Detroit Marshall Mathers AKA Eminem, aliachia  clip ya video yake mpya ambayo inatarajiwa kutoka mda wowote ijulikanayo kama Rap God kutoka katika Album yake mpya ya Marshall Mathers LP 2. Eminem  yuko kwenye maandalizi ya video nyingine mpya ya wimbo uitwao The Monster ambao amemshirikisha mwanadada Rihanna. 

0 comments:

Post a Comment