Nov 2, 2013

TANGA : BACK 2 COLLEGE BASH NDANI YA CLUB LACASA CHICA

  No comments    
categories: 
Ni siku ya tarehe 10 mwezi wa kumi na  moja ndani ya club LACASA CHICA tanga back2college bash itawasha moto wake kwa kiingilio cha tsh 3000/= ,college zote za tanga zitajumuika pamoja kushangweka chini ya dj badfuvu na dj pirlo

 Kutakuwa na muziki mzuri kutoka kwa madj waliojipanga,dance na waale wenye vipaji hii ndio nafasi ya kuonyesha kile ulichonacho.USIKOSEEEE.

0 comments:

Post a Comment