Dec 17, 2013

NEWS:sanamu kubwa yenye futi 30 iliyopewa jina la Nelson Mandela Unity Statue yazinduliwa

  
categories: ,

Nelson Mandela kiongozi aliyeiongoza South Africa kumaliza utawala wa kibaguzi amebakia kuwa kumbukumbu kubwa kwa wananchi wa nchi ya South Africa na dunia kwa ujumla.

 Hii imepelekea kuzinduliwa kwa kumbukumbu nyingine ambayo ni sanamu kubwa yenye futi 30 iliyopewa jina la Nelson Mandela Unity Statue.

Sanamu hiyo iliyotengenezwa na Bronze imezinduliwa tarehe 16 huko Pretoria na kugeuka kuwa kivutio kingine cha utalii kwenye jiji hilo.

5160468-3x2-700x467