Dec 3, 2013

( Photo’s): Wale Amekutana na babu yake kwa mala ya kwanza

  
categories: ,

Wale-his-uncle-Bayo-and-grandfather

Wale amekuwepo nchini Nigeria kwa karibu ya wiki sasa,na ametumia muda wake kukutana na ndugu na watu mbalimbali kwakua nimala yake ya kwanza kuwepo nchini Nigeria. Ametumia muda wake kutembelea ndugu wa familia yake na moja ya watu aliokutana nao ni babu yake.




db944ec85a0211e3880c124607064fb8_8
                                                     With Uncle and Dad