Dec 4, 2013

“WAKATI” Mixtape inatoka Jumamosi hii na itapatikana kwa Tsh. 5000/=



0104716e5ccf11e398be0a56c26576e4_8 

Ile mixtape mpya ya SONGA “WAKATI” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sasa iko tayari  kwaajili ya kuwafikia shabiki wa Hip Hop na mashabiki wote wa Songa. 
Sehemu za kuipata mixtape hii kwa kuanza itakuwepo pale Msasani Club ambapo kila jumamosi tunakutana KILINGE kwa hiyo ukifika pale utaipata Jumamosi hii.Mixtape hii itakuwa ikiuzwa Tshs 5000/= kwa pesa halali ya kitanzania.
  Sehemu zingine za kununua mixtape hii zitatangazwa hapo hapo siku hiyo