Kupitia account yake ya Facebook "MABESTE" amepost ujumbe maalumu kwenda kwa Prod Pancho pamoja na uongozi wa Bhitz Music Group. Soma nukuu yake hapa
“Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix)… sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track yangu ya “SIRUDI TENA” Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft chriss brown – champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???”
#MabesteArmy!
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???”
#MabesteArmy!