Aug 2, 2014

TUBONGE ndani ya NEW MAISHA CLUB Dar es Salaam

  No comments    
categories: ,

IMG_0428 IMG_0432 IMG_0447 IMG_0461 IMG_0477
Vanessa Mdee usiku wa jana pale New Maisha Club alipiga show kali sana asikwambie mtu aisee, big up Vanessa
IMG_0543
HK ndio alikuwa MC wa show hii ya Tubonge
IMG_0554 IMG_0557 IMG_0561
Msanii Mirror nae alikuwepo na alifanya show nzuri pia
IMG_0586
HK akimkaribisha kwa steji msanii Jose Chameleon
IMG_0606 IMG_0618 IMG_0624 IMG_0639
Jose Chameleon alipanda kwa steji na akapiga show moja matataaaaa huku akiwasuprise watanzani kwa kuwaita kwa steji wasanii nguli wa bongo fleva namzungumzia FEROOZ pamoja na PROF JAY
IMG_0645
Ferooz
IMG_0656 IMG_0671
Prof Jay
IMG_0681 IMG_0690 IMG_0693 IMG_0702 IMG_0716

0 comments:

Post a Comment