Showing posts with label 50 cent. Show all posts
Showing posts with label 50 cent. Show all posts

May 6, 2014

50 Cent - Irregular Heartbeat (Explicit) ft. Jadakiss, Kidd Kidd



                                             

Twitter: @benixmatrix Facebook Fans Page: MatrixRapTZ Instagram: @benixmatrix

Apr 29, 2014

(Official Music Video): 50 Cent Ft Kidd Kidd – Everytime I Come Around

(Photo’s):Picha za cover ya album mpya ya 50 Cent na list ya nyimbo zitakazokuwemo

  No comments    
categories: ,
Tarehe 20 February ni siku ambayo 50 Cent alitangaza kuondoka Shady Records, Aftermath Entertainment na Interscop, pamoja na kutangaza ujio wa album yake mpya Animal ambition June 3, Jana ametoa picha ya cover ya album hiyo pamoja na list ya ngoma zitakazokuwemo.


Animal Ambition ni album ya kwanza ya 50 tangu kuondoka katika studio hizo na kutarajiwa kutoka kupitia makubaliano mapya ya Caroline/Capitol/UMG. Caroline hivi karibuni wamesimamaia usambazaji wa album ya Korn na  E-40.


50 Cent made headlines today (February 20) when he confirmed his departure from Shady Records, Aftermath Entertainment and Interscope Records. Along with this news, 50 Cent has announced the June 3 release date for Animal Ambition. 
Animal Ambition is the first album 50 Cent is scheduled to release through a new agreement with Caroline/Capitol/UMG. Caroline has recently distributed albums by Korn and E-40, according to Associated Press