Wenyewe Magenge wanasema “GHETO LOVE, Is a song for all the ladies from the ghettos, who can take the hard life of the ghetto and still show love for their men, a woman’s love is all that counts, but a ghetto woman with a ghetto love for a ghetto man is all that matters.”
Unaposikia ngoma hii Ghetto Love na kama uwajuavyo Magenge, originality ni ndo kitu kinachozingatiwa katika kazi zao. Hakika huu ni muziki ambao mitaa na jamii nzima inapaswa kuusikia na kuachana na hizi copy and past za saa zinazoleta hawa swahili boy wenye Nigeria cockney.
Production, Fundi Samweli , ametengeneza mdundo yenye mahadhi ya aina yake huku Mapacha na Danny Msimamo wakikamilisha ngoma kwa michano mivizuri.Kwa chorus CLASSIC kutoka kwa Saraha ambayo ni hatari!!!!. Adam Juma naye amefanya yake, quality video.