Dec 3, 2013

Adidas officially wamethibitisha new deal yao na Kanye West.

  
categories: , ,

Adidas officially wamethibitisha  new deal yao na Kanye West.

Kanye West alitangaza partnership yake na kampuni hiyo ya viatu kutoka German katika interview aliyoifanya na  Hot 97′s Angie Martinez jumatatu iliyopita.

Taarifa kwa umma imetolewa leo na Adidas kuthibitisha deal hilo na kutaja sababu ya kumleta Kanye West katika kampuni yao. Soma hapa walichoandika Adidas:

“For 2014, we welcome to the adidas family one of the most influential cultural icons of this generation, Kanye West. Well known for breaking boundaries across music, film and design and partnering with our history in street wear culture and leading innovations in sport, we look forward to creating a new chapter. Details to follow.”

The New York Post  ilireport  wiki iliyopita ya kuwa mkataba huu unafikia kiasi cha $10 million dollars.