Dec 3, 2013

NEW MUSIC:B.o.B Featuring Priscilla “John Doe”

  
categories: , ,



B.o.B amekuwa na tabia ya kutambulisha vipaji vipya kwa audience ya hip-hop . Baada ya kufanya vizuri katika “Airplanes” akiwa na Hayley Williams wa Paramore,Sasa Bobby Ray amemchukua  Priscilla katika ngoma yake ya “John Doe.” Wimbo huu ni sehemu ya album yake itakayoitwa Underground Luxury na itatoka December 17.