Dec 2, 2013

[New Joint] Jos Mtambo – Nimeona

  
categories: 

“Nimeona” ni jina la ngoma mpya ya Jos Mtambo ambayo imepikwa na producer J Ryder.Nimeona ni moja ya track ambayo ipo kwenye albam yake, Jos, iitwayo “Wakigambo”
Sikiliza ngoma hii hapa chini ;