Oct 16, 2014

Rick Ross Kutoa Album Mbili Mwaka Huu.

  No comments    
categories: ,
Baada ya rapper Rick Ross kutoa album yake ya Mastermind Marcha mwaka huu, rapper huyu kutoka Miami ametangaza album ya pili inayotoka mwaka huu pia, album hii ni 'Hood Billionaire' .

Ujumbe wa album hii kwa mujibu wa Rick Ross ni kulisha mitaa na muziki wake, itakuwa album ya mitaa yote.

Hood Billionaire inatoka November 24 na wameshirikishwa wasanii kama R. Kelly kwenye “Keep Doin’ That (Rich Chick)” na “Elvis Presley Blvd” na  Jay Z pia yupo kwenye cd hii.

0 comments:

Post a Comment