Oct 16, 2014

Picha: AY akamilisha video na Sean Kingston Marekani

  1 comment    
categories: 
 














 AY amekamilisha kushoot video na msanii wa Marekani, Sean Kingston. Video hiyo imefanyika nchini humo.
AY-US2
AY amesema baada ya video hiyo huenda akafanya nyingine tena.
“Shooting ilienda vizuri tulifanya fresh yaani kila kitu kilienda vizuri kabisa. Hakuna ugumu wowote akina Trinity akina Sean Kingston, kuna jamaa wa New Boys jamaa fulani wanahit huku, kuna video wamefanya na jamaa fulani ina view milioni 32, so ni jamaa wakubwa huku nao pia walikuja wakashow love pale,” AY ameiambia Bongo5.
10735463_368657469962806_631229743_n Ms Triniti, AY na Sean Kingston

“Kuna actor mmoja mzungu naye pia alishow love, kwahiyo natarajia itakuwa bonge la video,” ameongeza.

“Kingine kwa sasa hivi nataka kufanya recording nyingine na artist wengine ambao sitakiwi kuwaweka wazi sasa hivi. La msingi ninaendelea kufanya kazi huku na ninaweza nikashoot na video nyinge tena halafu ndo nirudi Tanzania.”
Hizi ni picha zingine za AY akishoot video hiyo.
10731919_806653072710435_82368948_n
10706936_1477450815869078_468163395_n
10724711_335983979912689_1987114471_n

1 comment:

  1. JTG - Casino, Bars & Entertainment in Tunica | JSH
    JTG Casino in Tunica is the perfect 영주 출장샵 place to 충청북도 출장마사지 play and enjoy your 아산 출장마사지 favorite Mississippi style games 김천 출장안마 while enjoying the best of 화성 출장마사지 the entertainment and dining at

    ReplyDelete