Oct 16, 2014

Wyre apewa haki za kuirudia ‘Inde Monie’ na Kanda Bongo Man

  No comments    
categories: 















Muimbaji wa dancehall, Wyre aka The Love Child kutoka Kenya amesema amepewa haki za kuirudia hit song ya mkongwe wa Soukous kutoka DRC, Kanda Bongo Man iitwayo ‘Inde Monie’.
Wyre na Bongo Man
Wyre ameiambia GHAFLA kuwa tayari ameachia audio ya ‘Inde Monie’ (rendition) na hivi sasa yuko kwenye mipango ya kutoa video.
“Kanda Bongo Man alinipa haki za kuurudia wimbo wake miezi kadhaa iliyopita tulipokuwa tukitumbuiza Juba”.



0 comments:

Post a Comment